UEFA CHAMPIONS LEAGUE
LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA: Barcelona,Napoli na Atletico Madrid zaendeleza ubabe:- Ligi ya mabingwa barani ulaya imeendelea hapo Jana katika hatua ya makundi ambapo katika kundi:- "A" Arsenal 2 - 0 Basel Ludogorets Razgrad 1 - 3 PSG "B" Besikats 1 - 1 Dynamo kyiv SSC Napoli 4 - 2 Benfica "C" Borussia 1 - 2 Barcelona Moenchengladbach Celtic 3 - 3 Manchester city "D" Atletico Madrid 1 - 0 Bayern Munich FC Rostov 2 - 2 PSV Eindhoven