Machapisho

TERRY: Kuondoka mwishoni mwa msimu

Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa kapteni wa timu hiyo John Terry ataondoka mwishoni mwa msimu hui. John Terry ambaye ameichezea klabu hiyo zaidi ya miongo miwili amekuwa na mafanikio mbalimbali ikiwemo kuchukua kombe la FA mara tano,Klabu bingwa ulaya 2012, na kombe la ligi mara Nne. Hata hivyo John Terry amesema "Najua kwamba bado Nina uwezo uwanjani ila naelewa kuwa nafasi yangu hapa Chelsea imeishia hapa". 

Premier League

Baada ya wikiendi kuisha kwa kuchezwa kwa michezo mbalimbali ligi kuu wingereza kuendelea usiku huu kwa kupigwa kwa mchezo mmoja tu ambao ni Kati ya Middlesbrough dhidi ya Arsenal. Arsenal wanatakiwa kushinda mechi hii ili kufufu matumaini ya kuingia big four.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE

LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA: Barcelona,Napoli na Atletico Madrid zaendeleza ubabe:-   Ligi ya mabingwa barani ulaya imeendelea hapo Jana katika hatua ya makundi ambapo katika kundi:- "A" Arsenal 2  - 0 Basel Ludogorets Razgrad 1 - 3 PSG "B" Besikats 1 - 1 Dynamo kyiv SSC Napoli 4 - 2 Benfica "C" Borussia                   1 - 2 Barcelona Moenchengladbach Celtic 3 - 3 Manchester city "D" Atletico Madrid 1 - 0 Bayern Munich FC Rostov 2 - 2 PSV Eindhoven
LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUENDELEA LEO:- GROUP "A" Ludogorets Razgard Vs PSG Arsernal Vs Basel   GROUP "B" Besikats Vs Dynamo kyiv SSC Napoli Vs Benfica   GROUP "C" B.Monchengladbach Vs Barcelona Celtic Vs Manchester city   GROUP "D" Atletico Madrid Vs Bayern Munich Fc Rostov Vs PSV Eindhoven   Zote zinachweza saa 9:45 usiku