TERRY: Kuondoka mwishoni mwa msimu
Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa kapteni wa timu hiyo John Terry ataondoka mwishoni mwa msimu hui. John Terry ambaye ameichezea klabu hiyo zaidi ya miongo miwili amekuwa na mafanikio mbalimbali ikiwemo kuchukua kombe la FA mara tano,Klabu bingwa ulaya 2012, na kombe la ligi mara Nne. Hata hivyo John Terry amesema "Najua kwamba bado Nina uwezo uwanjani ila naelewa kuwa nafasi yangu hapa Chelsea imeishia hapa".
Maoni
Chapisha Maoni