Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2017

TERRY: Kuondoka mwishoni mwa msimu

Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa kapteni wa timu hiyo John Terry ataondoka mwishoni mwa msimu hui. John Terry ambaye ameichezea klabu hiyo zaidi ya miongo miwili amekuwa na mafanikio mbalimbali ikiwemo kuchukua kombe la FA mara tano,Klabu bingwa ulaya 2012, na kombe la ligi mara Nne. Hata hivyo John Terry amesema "Najua kwamba bado Nina uwezo uwanjani ila naelewa kuwa nafasi yangu hapa Chelsea imeishia hapa". 

Premier League

Baada ya wikiendi kuisha kwa kuchezwa kwa michezo mbalimbali ligi kuu wingereza kuendelea usiku huu kwa kupigwa kwa mchezo mmoja tu ambao ni Kati ya Middlesbrough dhidi ya Arsenal. Arsenal wanatakiwa kushinda mechi hii ili kufufu matumaini ya kuingia big four.